-
Filamu ya "Muawiyah" yakosolewa
DuniaUpotoshaji wa Historia kwa Manufaa ya Bani Umayyah na malengo ya kisiasa
Hawaza: Filamu hii haielezi kabisa njama na hila za Mu'awiya dhidi ya utawala wa Imam Ali (a.s.). Vita vya Siffin, ambavyo ni miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya uislamu, vilimalizika…
-
Hadithi ya leo:
DiniUombezi wa mwanamke mbele ya Mwenyezi Mungu
Hakuna uombezi wa mwanamke mbele ya Mwenyezi Mungu wenye kuokoa zaidi kama radhi ya mumewe. (mumewe kuwa radhi naye)
-
DuniaMwanazuoni mashuhuri Mhindi ameaga dunia
mwanazuoni mashuhuri na msomi hodari wa kihindi aliyekuwa akiishi katika mji mtukufu wa Qom, ameaga dunia.
-
Maswali na Majibu:
DiniJe! Ni kwa nini pombe imeharamishwa?
Madhara makubwa yapatikanayo kutokana na utumiaji wa pombe katika akili ya mwanadamu yamekuwa yakitambuliwa tangia zamani, utumiaji wa kilevi unaweza kusababisha matatizo ya kiakili, tabia zisizo…