Hadhrat Ayatollah Makarem Shirazi, ameelezea majukumu mapya yanayoambatana na kuvaa rasmi vazi rasmi la kidini kwa wanafunzi wa Hawza na akasisitiza kuwa: Kuanzia leo mmepata haiba mpya, na haifai…