Hawza/ Dkt. Muhammad Tahir-ul-Qadri, katika hotuba yake huku akisisitiza nafasi kubwa na yenye athari ya mitandao ya kijamii, amewataka vijana kwa kuzingatia maadili na kuwajibika, kuibadili…
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi amejibu swali la kisheria (istiftaa) kuhusiana na suala la “kuweka picha na video binafsi kwenye wasifu (profile)”.