Hawza/ Mufti wa Zanzibar ambae pia ni mwenyekiti wa kamati ya amani Zanzibar, ameongoza kikao cha kamati hiyo huku kikao hicho kikihudhuriwa na Raisi wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ally…