Wanazuoni wa Bahrain (21)
-
DuniaWanazuoni wa Bahrain Watoa Tamko Kali Kupinga Maamuzi ya Hivi Karibuni ya Utawala wa Al Khalifa Kuhusu Masuala ya Kisheria na Kiislamu
Hawza/ Wanazuoni wa Bahrain wametoa tamko la kuunga mkono taarifa ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini Bahrain, kuhusu maamuzi ya hivi karibuni yaliyofanywa…
-
DuniaVita Dhidi ya Matakatifu, Juhudi za Serikali ya Bahrain za Kuondoa Utambulisho wa Kidini katika Jamii ya Mashia
Hawza/ Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bahrain ametishia kuongeza hatua dhidi ya Mashia wa nchi hiyo na kufanya suala la wanazuoni waliofungwa kuwa gumu zaidi.
-
Sheikh Adel Al-Shaala:
DuniaKupokea vibali vya awali vya serikali kwa wahutubu na waombolezaji ni jambo la aibu
Hawza/ Sheikh Adel Al-Shaala, mwanazuoni wa Kishia kutoka Bahrain, ameeleza kuwa; kupokea vibali vya serikali kwa ajili ya kufanya shughuli za kidini ni “aibu” inayowalazimishwa waumini kuibeba.
-
Ayatullah Qa'sim:
DuniaSerikali ya Bahrain inapuuzia Sheria ya Mwenyezi Mungu Mtukufu
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain, katika taarifa yake amelaani maamuzi ya utawala wa Khalifa ambayo yanaweka vikwazo kwa baadhi ya sifa na taratibu za madhehebu ya Shia.
-
Uongozi wa Husseiniya za Bahrain:
DuniaHatua za serikali zinalenga uhuru wa kutekeleza ibada za kidini za Mashia
Hawza/ Uongozi wa Husseiniya nchini Bahrain umelaani hatua iliyotolewa na taasisi rasmi inayowataka makhatibu, waimbaji na waombolezaji kupata vibali vya awali kabla ya kushiriki katika shughuli…
-
Wanazuoni wa Bahrain:
DuniaTunatahadharisha kwamba Serekali Imechukua Njia ya Kuipinga Dini
Hawzah/ Wanazuoni wa Bahrain wametoa taarifa ya pamoja, wakiuonya utawala wa Al Khalifa kuhusu njia ya ambayo umeichukua kupinga dini.
-
DuniaBahrain yaendelea kuwafunga wanazuoni wa Kishia kwa lengo la kuufuta Ushia nchini humo
Hawzah/ Mahakama ya Bahrain imemhukumu Sheikh Abdulnabi Al-Nashaba, mwanazuoni wa dini wa Kishia, kifungo cha mwaka mmoja.
-
Vikosi vya Mapinduzi ya Bahrain:
DuniaWatawala wa Bahrain wameamua kuanzisha vita vya kuwafukuza Mashia
Hawzah/ Vikosi vya Mapinduzi ya Bahrain, katika taarifa ya pamoja, vimelaani mashauri yasiyo ya haki dhidi ya maulama wakuu wa dini pamoja na tuhuma za kubuniwa zinazowakabili.
-
DuniaJumuiya ya Al-Wefaq ya Bahrain yalaani hila mpya za mtawala wa Bahrain za kuwakandamiza Mashia
Hawzah/ Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya Al-Wefaq ya Bahrain imelaani uamuzi wa Wizara ya Sheria unaohusiana na kupanga upya vibali vya kutoa mawaidha, kuongoza dini, kutoa hotuba na kusoma…
-
Viongozi wa Mapinduzi ya Kitaifa ya Bahrain:
DuniaKuwafunga maulama kwa kesi za maonesho ni dhuluma ya wazi dhidi yao, dini na nchi
Hawzah/ Maulama wa dini na viongozi wa Mapinduzi ya Kitaifa ya Bahrain wamesisitiza kwamba: Maulama wenye heshima na waumini nchini Bahrain hawajafanya kosa lolote, isipokuwa kusema: “Mola wetu…
-
DuniaMuungano wa Wanamapinduzi wa Bahrain Watahadharisha Kuhusu Kunyimwa Haki Mashia
Hawzah/ Muungano wa Mapinduzi ya Februari 14 wa Bahrain umetangaza katika taarifa yake kwamba: Wananchi wa Bahrain hawatakubali mpango wa mauaji ya kimbari na kuhalalisha uhusiano na Israel,…
-
DuniaVita vipya vya Bahrain dhidi ya itikadi za Kishia; kamati maalumu zaundwa kudhibiti mimbari na mikusanyiko ya kidini
Hawzah/ Wizara ya Sheria ya Bahrain, katika kuendeleza unyanyasaji dhidi ya Mashia wa Bahrain, imezidisha vikwazo dhidi ya ibada na itikadi za Mashia.
-
Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain Chatoa Onyo:
DuniaBila kukomesha vyombo vya ukandamizaji, mageuzi ya kweli yatabakia kuwa ni kauli tupu
Hawzah/ Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain kimezitaka mamlaka kuchukua hatua za haraka za kuacha “kuwateka na kuwatesa watu” na kuwafikisha mbele ya sheria wale wanaohusika na uhalifu wa mateso.
-
DuniaSimulizi ya Bahrain kuhusu Kushtakiwa Mashia kwa Msingi wa Itikadi Yao
Hawza/ Ripoti za hivi karibuni kutoka Bahrain zinaonesha kwamba hatua za kisheria na kiusalama dhidi ya wanazuoni wa dini, makhatibu na taasisi za kidini zimevuka hatua ya kushughulikia kesi…
-
Jumuiya ya Al-Wifaq Bahrain:
DuniaAmri Mpya ya Kifalme Yaendeleza Mfumo wa Kiusalama na Kipolisi Nchini Humo
Hawza/ Kwa kutolewa kwa amri mpya ya Mfalme wa Bahrain, kwa mara nyingine tena kivuli cha sera za kipolisi kimezidi kutanda katika muundo wa kiutawala wa nchi hiyo. Jumuiya ya Al-Wifaq katika…
-
Mwaka wa Tano wa Mgomo wa Chakula:
DuniaMashirika ya Kimataifa Yataka Dkt. Abduljalil al-Singace Aachiwe Mara Moja kutoka Gerezani Bahrain
Hawza/ Shirika la “Scholars at Risk” (Wasomi Walio Hatarini) limewataka viongozi wa Bahrain kumwachilia mara moja na bila masharti mwanataaluma aliyefungwa, Dkt. Abduljalil al-Singace.
-
DuniaRipoti ya Shirika la Salaam, Kuielekea Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu Kuhusu Ukiukaji Mkubwa wa Haki za Mashia Unaofanywa na Serikali ya Bahrain
Hawza/ Shirika la “Salaam” la Demokrasia na Haki za Binadamu limewasilisha malalamiko kwa Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, likieleza kuwa Serekali ya Bahrain kwa sasa imekuwa ikikeuka…
-
DuniaKhatibu Mashuhuri wa Kishia Nchini Bahrain Akamatwa; Kisingizio cha Usalama au Kukabiliana na Mimbari za Kidini?
Hawza/ Hakuna akaunti yoyote au jukwaa lolote la habari linalounga mkono na kuhusishwa na serikali nchini Bahrain ambalo halijachapisha tena habari za kukamatwa kwa mhubiri wa Husaini, “Sheikh…
-
DuniaUjumbe Muhimu wa Ayatullah Issa Qasim Kuhusu Malengo Mabaya ya Marekani
Hawza/ Ayatullah Sheikh Issa Qasim, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain, amelaani sera za Marekani na Rais wake, “Donald Trump”, za kuilazimisha dunia kujisalimisha na kuwa mtiifu kikamilifu.
-
DuniaSheikh Adel Al-Shu'la Atahadharisha Kuhusu Utendaji wa Vyombo vya Usalama na Mahakama za Bahrain Dhidi ya Mashia
Sheikh Adel Al-Shu'la, miongoni mwa wanazuoni wa Kishia nchini Bahrain, katika hotuba yake alitoa wito wa kuwa na kiwango cha juu kabisa cha uangalifu na tahadhari dhidi ya kile alichokiita “utawala…
-
Wanazuoni wa Bahrain:
DuniaWananchi wa Bahrain Wamefelisha Matusi na Mipango ya Kuondoa Maudhui ya Ibada za Kidini
Hawzah/ Wanazuoni wa Bahrain wamesema: Kuhuisha alama na ibada za Mtukufu Sayyid al-Shuhadaa, Abu Abdillah al-Hussein (as), Ahlu al-Bayt wake na Maswahaba wake wenye nyoyo safi, ni heshima isiyotengan…