Hawza/ Hujatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sa'jid Ali Naqvi, katika ujumbe wake wa kuikosoa jumuiya ya kimataifa kwa kunyamazia jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza, amesisitiza kwamba: Siku…
Hawza/ Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini Lebanon, amesema; ameshtushwa na ukubwa wa uharibifu na idadi ya raia waliopoteza…
Hawza/ Mwandishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya haki za binadamu nchini Palestina ameonya kuhusu kuongezeka kwa mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni na walowezi…