Hawza/ Manispaa ya mji wa Ghent nchini Belgium imetangaza kuwa, inakusudia kwa mara ya kwanza kufunga taa za mapambo ya mwezi wa Ramadhani katika vituo viwili maarufu vya ununuzi vya jiji hilo.…
Hawzah/ Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji, Mheshimiwa Maxime Prévot, siku ya Jumanne katika mkutano mkuu alitangaza kuwa Ubelgiji imeitambua rasmi Serikali ya Palestina, na baada ya Australia,…