Hawza/ Shirika la Afya Duniani limewaomba watu dunianj kuchukua hatua za haraka kwa ajili ya Ghaza, kwani Ghaza kwa sasa ni mahali ambapo watoto wanakufa kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa…