Hawza/ Maulavi Ruhul-Amin katika hotuba zake alisisitiza kuwa; mwenendo na sera za Amirul-Mu’minin, Mtukufu Ali bin Abi Talib (a.s.), ni zaidi ya historia; ni mfano hai wa vitendo wa haki, uwajibikaji…