Hawza/ Sheikh Naeem Qassem, usiku wa leo, kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja tangu achukue wadhifa wa Ukatibu Mkuu, atakuwa mgeni katika kituo cha Al-Manar.
Katibu Mkuu wa Hizbullah Lebanon ameeleza athari na baraka za Hawza ya Qum zimeenea katika uwanja wa kitamaduni na kijamii, hasa katika suala la kuunda Mapinduzi ya Kiislamu na mhimili wa muqawama.