Hawza/ Rais wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Muqawama nchini Lebanon amesema: Sisi tuko pamoja na Iran na mhimili wa muqawama, kwa sababu wao wamesimama katika upande wa haki pamoja na Palestina…
Hawza/ Sheikh Maher Hammoud amesisitiza kuwa; tangazo la kuuawa kishahidi kundi la makamanda wa Vikosi vya Izzuddin Al-Qassam linathibitisha kwamba njia ya muqawama haitasimama.
Hawza/ Sheikh Maher Hammoud amesema: “Wakati wanataka Muqawama, pamoja na manufaa yote uliyoyaleta Lebanon, utoe silaha zake kwa ajili ya mradi wa kubuni serikali imara, ni sawa na kuuza chuma…