Hawzah/ Harakati ya Amal, kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kutoweka kwa Imam Sayyid Musa Sadr, iliandaa hafla katika mji wa Burj Rahal
Hawza/ Mkusanyiko wa Wanazuoni Wakislamu katika marasim ya kumkumbuka Sheikh Rasul Shahud ambaye aliuawa kwa shambulio la kigaidi katika viunga vya mji wa Homs. Marasim haya yalifanyika katika…