Sheikh Ali al-Khatib (5)
-
Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia Lebanon:
DuniaMapambano na Israel ni mapambano ya Kitamaduni yanayo endelea, na Muqawama haujashindwa na kamwe hautashindwa
Hawza/ Sheikh Ali al-Khateeb amesisitiza kwamba jamii ya Lebanon, pamoja na kuwa na tofauti za kimadhehebu na kidini, bado ni jamii moja yenye mshikamano, na msimamo wake unapaswa kuwa wa umoja…
-
DuniaSheikh al-Khatib: Tunatumaini kikao cha Doha kitaishia kwenye maamuzi muhimu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Ali al-Khatib, Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia la Lebanon, baada ya kukamilisha safari yake katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amerejea…
-
Rais wa Baraza Kuu la Waislamu wa Kishia nchini Lebanon:
DuniaMshikamano wa Lebanon sasa umesimama imara zaidi kuliko zamani dhidi ya hila za maadui / Shambulizi la Israel dhidi ya Qatar ni funzo kwa tawala zote za Kiarabu na katika ukanda
Hawza/ Sheikh Ali Al-Khatib, akisisitiza juu ya ulazima wa kudumisha mshikamano baina ya mataifa ya eneo hili, amesema: Shambulizi la Israel dhidi ya Qatar ni kengele ya hatari kwa tawala zote…
-
Sheikh Ali Al-Khatib katika ufunguzi wa Mkutano wa Umoja:
DuniaUshindi wa muqawama umeilazimisha dola ya Kizayuni kukiri kushindwa kwake
Hawza/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia nchini Lebanon alisisitiza: Adui anataka kuutenga umma wa Kiislamu na malengo yake ya kimungu, lakini ushindi wa muqawama umeilazimisha…
-
Makamu wa Rais wa Baraza kuu la Shia nchini Lebanon:
DuniaImam Khomeini alianzisha harakati kubwa zaidi ya mapinduzi harakati ambayo mafundisho yake yamechukuliwa kutoka katika kina cha uislamu
Hawza/ Sheikh Ali al-Khatib amesema: Tumempoteza Imam Khomeini (r.h), ambaye haiba yake iliambatana na ujasiri na kujitolea, na mwangaza wake uliangaza kote ulimwenguni.