Hawza / Sheikh Ahmed Al-Qattan alisisitiza kuwa sisi Lebanon, muda wa kuwa viongozi thabiti kama Sheikh Naeem Qasim na Nabih Berri wapo, hatuogopi.