Hawza/ Sheikh Adel Al-Shaala, mwanazuoni wa Kishia kutoka Bahrain, amelaani hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya Sheikh Hussein Al-Matouq, akiitaja hatua hiyo kuwa ni hukumu ya «kitwa'ghuti»,…
Hawza/ Sheikh Adel Sha’la, mmoja wa wanazuoni wa Kishia nchini Bahrain, amekosoa vikali sera za mamlaka zinazotawala nchini humo, huku akionya kwamba utawala na uingiliaji katika masuala ya dini,…
Hawza/ Sheikh Adel Al-Shaala, mwanazuoni wa Kishia kutoka Bahrain, ameeleza kuwa; kupokea vibali vya serikali kwa ajili ya kufanya shughuli za kidini ni “aibu” inayowalazimishwa waumini kuibeba.
Hawza/ Sheikh Adel Al-Shaala, mwanazuoni wa Kishia wa Bahrain, amesisitiza kwamba; ibada ya kuwazuru Maimamu Maasumina (as) si kama hukumu nyingine za kisheria, bali ni miongoni mwa alama na…