Hawza/ Baraza Kuu la Kiislamu la Iraq limelaani vikali uvamizi wa Marekani na Saudi Arabia dhidi ya ardhi ya Iraq na kusema kuwa; lengo la hatua hiyo ni kuzuia utulivu wa Iraq na kukwamisha juhudi…