Hawza/ Ali Zaman, msanii mashuhuri na mtaalamu wa khati (calligraphy) kutoka Iraq, amekamilisha uandishi wa Qur’ani Tukufu kwa mwandiko wa kisanaa (kaligrafia) baada ya miaka sita ya juhudi endelevu.
Hawza/ Jumba la Makumbusho la Taifa la Korea Kusini limeitenga sehemu ya ghorofa ya tatu ya jengo lake kuwa hifadha ya sanaa za Kiislamu, na imepangwa kuwa kuanzia Ijumaa sehemu hii itakuwa wazi…