Hawzah/ Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva, ametoa wito kwa serikali duniani kuchukua hatua madhubuti na ya pamoja dhidi ya Israel, akisema kuwa dunia haiwezi kukaa kimya mbele ya mauaji…