Hawza/ Kufuatia matamshi makali ya Benjamin Netanyahu dhidi ya Recep Tayyip Erdoğan, Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa nchi hiyo wamekosoa vikali kauli…
Hawza / Rais wa Uturuki amekosoa vikali sera za Israel na kueleza kuwa mashambulizi ya utawala huo dhidi ya Ghaza, Lebanon na Syria ni tishio kwa eneo lote, amesisitiza kwamba; Ankara haitabaki…
Hawza/ Rais wa Uturuki, Rajab Tayyib Erdogan, katika hotuba yake baada ya Swala ya Idi ya Adh-ha ndani ya Msikiti Mkuu wa Çamlıca mjini Istanbul, huku akisisitiza umuhimu wa umoja wa ulimwengu…