Hawza/ Rais wa Kolombia amepongeza makubaliano kati ya Israel na Hamas kuhusu awamu ya kwanza ya mpango wa amani katika Ukanda wa Ghaza, akieleza matumaini yake kwamba usitishaji huu wa mapigano…
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, katika hotuba yake siku ya Ijumaa, alilinganisha hali ya mateso wanayo ipotia Wapalestina na simulizi ya maisha ya Nabii Issa Masih (amani iwe juu yake).