Hawza/ Maelfu ya wananchi wa Cuba Jumatano waliandaa maandamano makubwa katika sehemu mbalimbali za nchi hiyo, wakionyesha uungaji wao mkono watu wa Palestina na kudai kusimamishwa mara moja…