Hawza/ Sheikh Hassan Abdullah alisema: “Wapo baadhi ya watu leo wanaodhani kwamba tumeshindwa, sisi katu hatujashindwa, kushindwa ni pale tu ambapo adui anafanikisha malengo yake.”
Hawza/ Hujjat al-Islam Qadhi Sheikh Hassan Abdullah ameelezea kuwa: Mateso wanayo yapitia watu wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza, ni sawa na uhalifu unaopewa uhalali wa kimataifa na doa la…