Hawza/ Ayatullah Al-‘Udhma Ja‘far Subhani, katika ujumbe wake kwenye hafla ya kumuenzi Profesa Muhammad Ali Mahdavi-Rad, ameeleza kuwa; kuwaheshimu wanazuoni na wasomi ni wajibu wa kimaadili.
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza, katika ujumbe wa video alioutoa kwenye hafla ya kumuenzi Profesa Muhammad Ali Mahdavi-Rad, pamoja na kuitukuza hadhi yake ya kielimu na juhudi zake zenye thamani,…