Hawza/ Jumuiya ya madaktari na wahudumu wa afya nchini Morocco wameamua kuingia kwenye mgomo wa kula ili kuonyesha mshikamano na wenzao walioko Ghaza pamoja na watoto na raia wasio na hatia waliokumbw…