Hawza/ Licha ya uadui mwingi unaokabili mafundisho ya dini, kuzingatiwa kwa itikadi ya Mahdawiyya kunazidi kuongezeka siku baada ya siku. Kuongezeka hamu na hisia ya haja katika nyanja za kiakili…