Mauwaji ya Mashia Syria (4)
-
DuniaSheikh Khazali, azitaka taasisi za Kiislamu, Kiarabu na za kimataifa kutekeleza wajibu wao wa kibinadamu ili kusitisha mauaji nchini Syria
Hawza/ Katibu Mkuu wa Harakati ya Asaib Ahl al-Haq, amezitaka taasisi za Kiislamu, Kiarabu na za kimataifa kutekeleza wajibu wao wa kibinadamu ili kusitisha mauaji na ukiukwaji unaotishia maisha…
-
DuniaMuqtada al-Sadr alaani vikali shambulio la kigaidi katika Msikiti wa Imamu Ali (a.s.) nchini Syria
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Sadr, amelaani vikali shambulio la kigaidi lililofanywa katika Msikiti wa Imamu Ali (a.s.) katika mji wa Homs nchini Syria, na kuitaka serikali ya Syria kudhibiti…
-
DuniaUmoja wa Mataifa walaani mauwaji ya kiholela dhidi ya Mashia nchini Syria
Hawza/ António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amelaani vikali shambulio la kigaidi la hivi karibuni lililosababisha umwagaji damu, shambulio ambalo liliulenga Msikiti wa Imamu Ali…
-
Baraza Kuu la Kiislamu la Alawiya nchini Syria:
DuniaMamlaka tawala yafaa kuwajibika kutokana na mashambulizi ya kigaidi
Hawza/ Baraza Kuu la Kiislamu la Alawiya nchini Syria na nje ya nchi, kupitia tamko lake rasmi, limeyalaani mashambulizi ya kigaidi yanayojirudia dhidi ya raia wa dhehebu la Alawi.