Maulidi ya Mtume (20)
-
DuniaMaulana Sheikh Jalala Ahimiza Waislamu Kuendeleza Vikao vya Maulidi, Dua na Dhikri
Hawza/ Tarehe 04 Septemba 2026, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, amehudhuria hafla ya Maulidi iliyofanyika jijini Mwanza, katika mwendelezo…
-
DuniaVituo vya Bilal Muslim Tanzania Vyaadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad (saww) kwa Shangwe na Furaha
Hawza/ Vituo vya Bilal Muslim katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania vimeungana na Waislamu kote duniani katika kuadhimisha kwa shangwe na furaha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad…
-
DuniaMwanza Kuandika Historia ya Maulidi/ Hafla Kubwa ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mtume (s.a.w.w.) Kufanyika Igogo
Hawza/ Wakazi wa jiji la Mwanza na maeneo ya jirani wanatarajiwa kushuhudia hafla kubwa na yenye kuleta furaha ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu wa Uislamu, Muhammad Mustafa…
-
DuniaWaumini wa Kenya Wafurahia Maadhimisho ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya Ahlulbayt ya Kenya imeandaa hafla adhimu ya Maulidi ya kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), katika mazingira yaliyojaa furaha, tafakuri…
-
DuniaMashia wa Burundi Wafanya Sherehe ya Kuenzi Mazazi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Waumini wa Kiislamu nchini Burundi wameungana katika anga ya furaha, upendo na shangwe kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), katika hafla maalumu iliyofanyika jana…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaDunia Inapaswa Kufuata Mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Hemedi Jalala, ametoa wito kwa jamii duniani kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.), akisisitiza kuwa maisha na mwenendo…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Ahlulbayt (as) Jijini Arusha:
DuniaTofauti za Kimadhehebu Zisiwe Sababu ya Waislamu Kutengana
Hawza/ Mkurugenzi wa Madrasa ya Ahlulbayt iliyopo jijini Arusha, Dkt. Sheikh Abdurazak Amiri, ametoa wito kwa Waislamu kutoruhusu tofauti za kimadhehebu kuwa sababu ya kutengana, akisisitiza…
-
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na AmaniTanzania:
DuniaMaulidi ya Mtume (s.a.w.w.) Yanatufundisha Umoja na Kuepukana na Mifarakano
Hawza/ Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania, Dk. Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema: Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.) yamebeba ujumbe mkubwa wa umoja wa Kiislamu,…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayyid Shuhadaa (as):
Dunia“Bila ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.) Hakuna Amani Duniani”
Hawza/ Sheikh Maulidi Hussein Sombi, amesisitiza umuhimu wa kumuenzi Mtume Muhammad (s.a.w.w.) kwa kuzingatia mafundisho yake ya amani, umoja na mshikamano, huku akieleza kuwa Mtume Mtukufu ni…
-
DuniaBilal Muslim Temeke, Yaadhimisha Hafla ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Kituo cha Bilal Muslim kimeandaa hafla maalumu ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), katika tukio lililolenga kuenzi maisha, ujumbe na mafundisho ya Mtume…
-
DuniaShangwe na Furaha Zatawala Kigogo, TIC Yaadhimisha Mazazi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya Shia Ithnaashariyyah Tanzania (TIC) imeungana na Waislamu wote nchini katika kuadhimisha kwa shangwe na furaha kubwa kumbukumbu ya kuzaliwa Mtukufu wa daraja Mtume Muhammad…
-
DuniaMoshi Yaadhimisha Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.); Malezi ya Kiakili, Kiroho na Kimaadili Vyasisitizwa
Hawza/ Waumini na wananchi mbalimbali katika Jiji la Kilimanjaro Moshi, walikusanyika katika Msikiti wa Ahlulbayt tarehe 29 Agosti 2026 kwa ajili ya kushiriki hafla maalumu ya kuadhimisha Maulidi…
-
DuniaTIC na Hawza Imam Swa’diq (as) Waanza Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume (s.a.w.w.) kwa Hafla ya Samāi Dar es Salaam
Hawza/ Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), kwa kushirikiana na Hawza ya Imam Swa’diq (as), imeanza kwa hamasa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), kupitia hafla maalumu ya…
-
DuniaTaasisi ya “Sadiq al-Amin” Mjini Sidon Yaadhimisha Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mtume Mtukufu (s.a.w.w.) na Imam Sadiq (as)
Hawza/ Katika kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Mtukufu, Muhammad (s.a.w.w.) na Imam Jaafar Sadiq (as), na kwa mnasaba wa “Wiki ya Umoja wa Kiislamu,” Taasisi ya “Sadiq al-Amin” nchini…
-
Sheikh Naim Qassim:
DuniaSerekali ya Lebanon Imechagua Njia Ambayo Si ya Heshima Kwake Wala Si ya Fahari kwa Lebanon
Hawza/ Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Hizbullah, alisisitiza: Mtume wetu, Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), ni Mtume wa watu walio huru; watu hao walio huru ambao hufungua akili na nyoyo zao zilizo…
-
DuniaHizbullah Yaadhimisha Maulid ya Mtume Mtukufu (s.a.w.w.) kwa kufanya Mkutano wa Umoja wa Wanazuoni mjini Sidon
Hawza/ Hizbullah imeendesha katika Jengo la Mtukufu Sayyid al-Shuhadaa (as), lililopo katika eneo la Haret Sidon, hafla kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume wa Rehema, chini ya kaulimbiu “Umoja wa…
-
Ayatullah Al-Udhma Nouri Hamedani katika ujumbe wake kuelekea Mkutano wa 40 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu:
DuniaKila aina ya uhusiano na utawala wa Israel na msaada wa kuuwezesha kuendelea kuwepo bila shaka unapingana na maslahi ya Umma wa Kiislamu
Hawzah/ Ayatullah Al-Udhma Nouri Hamedani, huku akisisitiza kwamba kila aina ya uhusiano na utawala wa Israel na msaada wa kuuwezesha kuendelea kuwepo bila shaka unapingana na maslahi ya Umma…
-
DuniaIran Yaandaa Mkusanyiko wa Mada 60,000 za Utafiti Kuhusiana na Mtume Mtukufu (s.a.w.w)
Katika kikao cha waandishi wa habari cha kutambulisha “Mkusanyiko wa Mada za Utafiti za Elimu na Maarifa ya Mtume (s.a.w.w)”, ilibainishwa kuwa baada ya miaka kadhaa ya utafiti, uchunguzi na…
-
DuniaMaulidi ya Kitaifa Yafanyika Dar es Salaam: Mufti Atoa Wito wa Kudumisha Umoja na Amani Tanzania
Hawzah/ Sherehe za Maulidi ya Kitaifa zimefanyika usiku wa jumanne katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, zikiwa zimewakutanisha viongozi wa dini, viongozi mbalimbali wa serikali,…
-
DuniaKondoa Kuandaa Hafla Kubwa ya Maulidi ya Mtume (saww), Masheikh Maarufu Watarajiwa Kuhudhuria
Hawza/ Waumini wa dini ya Kiislamu mjini Kondoa wamealikwa kushiriki katika hafla maalumu ya kuadhimisha Maulidi ya Mtume Muhammad (saww), katika tukio linalotarajiwa kuwakutanisha waumini pamoja…