Hawza/ Kozi ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu kwa watoto Waislamu imeandaliwa katika mji wa São Paulo, Brazil, kwa lengo la kuimarisha utambulisho wa Kiislamu na maadili ya kielimu miongoni mwa vijana.
Hawza/ Jiji la Benghazi nchini Libya litakuwa mwenyeji wa mashindano ya kumi na tatu ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu, yanayo tarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 120 kutoka nchi 75 duniani.