Hawza/ Ahlus-Sunna wa mji wa Lucknow nchini India katika siku ya 12 Rabiul-Awwal, kwa kuweka picha za Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, walionesha ujumbe unaolenga umoja wa Waislamu ulimwenguni.