Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ametoa tamko kuhusu wajibu wa mataifa mbele ya tawala ambazo zimeichagua Marekani kuwa Mola wao, na kuwataka wananchi kusimama dhidi ya tawala…