Hawza/ Sheikh “Nazim Al-Saidi”, mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Nujabaa, huku akisisitiza kutenganisha silaha ya muqawama na silaha ya vurugu na machafuko, ametaka kupambana na ufisadi…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Akram Al-Kaabi katika ujumbe wake amesema: Mtukufu Ayatollah Sayyid Mujtaba Khamenei, kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu ujue kwamba, mhimili mzima wa muqawama pamoja…