Hawza/ Ofisi ya Muqawama wa Kiislamu ya Kataib Sayyid al-Shuhadaa (as) imeeleza kuwa; kitendo cha kigaidi cha Marekani na utawala wa Kizayuni cha kuwalenga mazuwari wasio na ulinzi wa Haram ya…
Hawza/ Abu Alaa al-Wala'i, Katibu Mkuu wa Kata'ib Sayyid al-Shuhadaa, huku akisisitiza nafasi ya mashahidi katika Umma wa Kiislamu, amesema: "Kushiriki katika mazishi ya mashahidi si ibada ya…
Hawza/ Katibu Mkuu wa Kataib Sayyid al-Shuhadaa (as) nchini Iraq, akisisitiza kwamba; leo sauti ya “فُزنا وربّ الكعبة” imetanda katika uwanja mzima wa muqawama, amesema: Kupitia kutimia kwa “Ahadi…
Hawza/ Ofisi ya kitamaduni ya Harakati ya Muqawama ya Kiislamu ya Kata’ib Sayyid al-Shuhada ndani Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa kutoa taarifa rasmi kujibu kuwekwa kwa zawadi kwa ajili ya kumuua…
Hawza/ Katika mwelekeo wa uchaguzi wa Iraq, Abu Alaa al-Wala’i alisema kuwa uchaguzi wa Iraq ni “mapigano meupe” ya kiwango kamili; silaha yake ni kura safi za taifa na uwanjani ni sanduku la…
Hawza/ Mwakilishi wa kitengo cha utamaduni wa Kata’ib Sayyid al-Shuhada ya Iraq mjini Qom Iran, amesema kuwa harakati hiyo imewekwa katika orodha ya vikwazo na Marekani kutokana na umaarufu wake…