Imam Swadiq (a.s) anastaajabishwa na watu wa aina nne, kwa nini hawakimbilii kwenye dhikri nne zilizojaribiwa na zenye tiba wakati wa matatizo na na kushikika.
Mkusanyiko wa waombolezaji katika siku ya kuuawa kishahidi Imam Ja'far Sadiq (a.s) huku akihudhuria Ayatollah al-Udhma Wahid Khorasani.