Hawza/ Ukandamizaji huu mkali umeelekezwa dhidi ya shakhsia mashuhuri na wafuasi wa jamii ya kidini ya Mashia katika kisiwa hiki kidogo cha Ghuba ya Uajemi.
Hawza/ Moja ya sifa za Imam Jawad (a.s) ni elimu yake kubwa na pana; kama walivyokuwa baba zake watukufu pia walikuwa na elimu hii pana (elimu ya ladunni) na walikuwa wanazuoni kwa maana halisi…