Hawza/ Imamu wa Ijumaa wa Beirut, katika mawasiliano ya simu, sambamba na kutoa mkono wa pole, amelaani mauaji yaliyofanywa na Israel katika kambi ya Ain al-Hilweh.
Hawza/ Mwanazuoni mashuhuri wa kidini nchini Lebanon, Hujjatul-Islam Sayyid Ali Fadhlallah, amesisitiza kuwa serikali ya Lebanon inapaswa kusimama imara dhidi ya masharti au matakwa yoyote yatakayohat…