Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Arif Hussein Wahidi, katika hotuba yake alisema: Kuendelea na kudumu kwa Uislamu kunategemea damu ya mashahidi, na taifa lolote ambalo liko tayari kujitoa mhanga…
Hawza/ Mashindano ya kimataifa ya usomaji mzuri wa Qur’ani Tukufu yamefanyika mjini Islamabad, Pakistan, kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 37 za Kiislamu duniani.