Hawza/ Kamati ya Hafla ya Kubadilisha Bendera katika Haram Takatifu ya Abbasiyya imetangaza kukamilika maandalizi yake kwa ajili ya kuandaa hafla ya kubadilisha bendera ya kuba ya Haram Tukufu…
Hawza/ Siku ya mwisho ya kikao cha awali cha siku mbili cha kongamano la kwanza la kielimu la kuadhimisha milenia ya Hawza ya Kielimu ya Najaf Ashraf ilihitimishwa kwa kuwasilishwa tafiti mbili…
Hawza/ Hafla ya ufunguzi wa kikao cha awali cha kongamano la kwanza la kielimu la kuadhimisha miaka elfu moja ya Hawza ya Kielimu ya Najaf Ashraf ilifanyika Jumatano, tarehe 11 February, chini…