Hawza/ Sayyid Muqtada Sadr, kiongozi wa Harakati ya Kitaifa ya Kishia nchini Iraq, alionsha hasira na kutoridhishwa kwake kutokana na kauli za Irfan Siddiq, Balozi wa Uingereza mjini Baghdad.
Hawza/ Muqtada Sadr, kiongozi wa Harakati ya Kitaifa ya Kishia nchini Iraq, ametangaza kuwa: Vikosi vya “Saraya al-Salam” vitajitenga na Harakati ya Sadr na wanachama wake watajiunga na serikali.