Hawza/ Harakati Nujabaa katika tamko lake, imelaani shambulio dhidi ya makao ya Hamas huko Doha na ikatoa onyo kwamba maridhiano na utawala wa Kizayuni hayaleti usalama kwa tawala za Kiarabu.