Hawza/ Greta Thunberg, mmoja wa watu waliotekwa na Israel, siku ya Jumanne aliishtumu Israel kwa kosa la utekaji nyara na kuwadhibiti yeye pamoja na wenzake waliokuwa wakiiunga mkono Palestina.