-
DuniaHasira ya Trump kwa sababu ya Muislamu kugombea umeya katika jimbo la New York
Hawza/ Donald Trump alimtaja Zohran Mamdani, ambaye alikuwa mgombea wa umeya katika jimbo la New York, kuwa mmoja wa wafuasi wakuu wa Palestina nchini Marekani, jambo lililotokea huku idadi ya…
-
Kiongozi wa Ansarullah Yemen:
DuniaMakombora ya Iran ni sawa na jinamizi kwa Wazayuni
Hawza/ Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi, ametoa pongezi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na ushindi wake katika vita vilivyoanzishwa kwa kulazimishwa na utawala dhalimu wa Kizayuni,…
-
Abu Alaa al-Wala'i:
DuniaIran imeivuka kwa nguvu njama za kimataifa na kufikia zama mpya za uimara
Hawza/ Katibu Mkuu wa Muqawama wa Kiislamu wa Kataib Sayyid al-Shuhada, amezungumzia ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni na Marekani,…
-
Ayatollah al-‘Uzma Nouri Hamedani:
HawzaKuhudhuria mazishi ya mashahidi ni jawabu thabiti kwa porojo zinazotolewa na viongozi wenye kutakabari
Hawza/ Hadhrat Ayatollah Nouri Hamedani, katika ujumbe wake kutokana ma mnasaba wa kuuawa kishahidi Sardar Luteni Jenerali Mujahid Ali Shadmani, alisisitiza kuwa: Kuhudhuria kwa wapendwa wote…
-
Ayatollah A‘raafi katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa mwezi wa Muharram:
HawzaMaombolezo ya Muharram ya mwaka huu yafanyike kwa namna ya adhama zaidi kuliko miaka iliyopita / Hawza na maulamaa daima wamesimama imara juu ya ahadi yao kwa raia
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza amesisitiza kuwa: Maombolezo ya mwezi wa Muharram mwaka huu yanapaswa kufanyika kwa namna ya adhama zaidi kuliko zamani kwa lengo la kuimarisha hamasa ya Ashura na…
-
DuniaRais Mwinyi azindua rasmi kamati ya kusimamia Madrasa Zanzibar
Hawaza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizindua rasmi Kamati ya Kitaifa ya Kusimamia Madrasa Zanzibar.
-
Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan:
DuniaImam Hussein (as) ni kielelezo cha uhuru na haki; maombolezo ni haki ya raia na urithi wa muqawama
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kuwadia kwa mwezi mtukufu wa Muharram al-Haram, amesisitiza kuwa uendeshaji wa maombolezo…
-
DuniaWazayuni waomba fidia kutoka kwa Netanyahu
Hawza/ Televisheni ya Israel imeripoti kupokea maelfu ya maombi ya fidia kutoka kwa Wazayuni baada ya kumalizika kwa vita na Iran na kutokana na uharibifu mkubwa uliosalia katika maeneo ya kati…