Hawza/ Ammar Hakim, katika khutba ya Swala ya Idi mjini Baghdad, alitangaza kuiunga mkono serikali ya sasa ya Iraq inayoongozwa na Ali al-Zaidi.
Hawza/ Hujjatul Islam Sheikh Salah Al-Karbalaei alisisitiza kuwa; misimamo ya taifa la Iraq katika mazingira magumu ni dhihirisho la uhalisia wa mshikamano wao kwa taifa lao na ni mwitikio unaostahili…