Hawza/ Bi. Dalal Abbas amesema: Sulhu Imam Hasan (a.s.) na mapambano ya Imam Hussein (a.s.) ni njia mbili zinazokamilishana katika muqāwama wa Kiislamu, na zinachukuliwa kuwa dira ya kukabiliana…