-
Msimamizi wa jalada la wafungwa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu (Hamas):
DuniaIrani ni Uti wa Mgongo wa Mhimili wa Muqāwama Dhidi ya Utawala wa Kizayuni
Hawza/ Sheikh Abdulrahman amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, tangia siku za mwanzo za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, imeliweka suala la Palestina kuwa ni mhimili usioweza kufanyiwa mazungumzo…
-
Mkusanyiko wa Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon walaani kudharauliwa Qur’ani Tukufu:
DuniaKuitukana Qur’ani ni Sawa na Kuwashambulia Waislamu Wote
Hawza/ Mkusanyiko wa Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon, katika taarifa rasmi, umelaani vikali kitendo cha “Jake Lang”, mgombea wa Chama cha Republican cha Marekani, cha kuidharau Qur’ani Tukufu.
-
DuniaUshiriki wa Iran katika Maonesho ya Kitabu ya Burkina Faso
Hawza/ Maonesho ya Kitabu yalifanyika mjini Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, kwa muda wa siku sita, huku yakishirikisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.