Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema kwamba; utamaduni wa Mtume (saww) ndio huo huo utamaduni wa jihadi ambao Mapinduzi ya Kiislamu yamesimama nao na yataendelea kusimama nao,…
Hawza/ Ayatullah Khatami huku akifichua njama za maadui katika uwanja wa vita mseto na shinikizo la kiuchumi, alisisitiza kuwa maseneta wa Marekani wanatafuta kuporomosha maisha ya wananchi,…
Hawza/ Mjumbe wa Baraza la Wataalamu wa Uongozi (Shura-ye Negahban), katika Mkutano wa Kitaifa wa "Mbebabendera ya Tafsiri", huku akisisitiza ulazima wa kuzinduliwa harakati ya tafsiri ya Qur’ani,…