Hawza/ Ayatullah Rajabi, mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Wataalamu wa Uongozi, amesema kuwa kukiuka mwongozo wa Walii Faqihi, hata kama kutatokana na nia ya kutaka kuilinda na kuipa…
Hawza/ Ayatullah Rajabi Katika Darsa ya Juu ya Usul amesema: Wote Walioamuru na Waliohusika Katika Kuuwawa Imam Shahidi, Wanastahili Hukumu ya Kuuwawa.
Ayatollah Rajabi amewataka viongozi na maafisa kuwajibika zaidi kuliko wakati mwingine wowote kwa nafasi yao ya kihistoria na yenye kuamua hatima katika kuangamiza kabisa “uvimbe wa saratani…