Hawza/ Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom amesema: "Baadhi ya hatua na propaganda zinazoenezwa hazitokani na huruma kwa wananchi, bali zinalenga kuzusha mifarakano, kuigawa jamii…