Hawza/ Ofisi ya Ayatullah Wahid Khorasani imetangaza kuwa, kwa fadhila na rehema zisizo na kikomo za Mwenyezi Mungu Mtukufu, baraka za neema za Maimamu wa Ahlul-Bayt (as), pamoja na baraka za…
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ali Emad, Mshauri wa Rais wa Iran katika masuala ya Hawza na viongozi wa kidini, amefuatilia mwenendo wa matibabu ya Ayatullah Wahid Khorasani.
Hawza/ Mmoja wa wajumbe wa ofisi ya Ayatullah Wahid Khorasani amethibitisha taarifa za kulazwa kwake hospitalini na kueleza kuwa, Alhamdulillah, hali yake ya kiafya kwa ujumla inaendelea kuwa…
Ujumbe wa rambirambi wa Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani kufuatia kufariki dunia Ayatullah Al-Udhma Shubairi Zanjani umewasilishwa kwa familia ya Marji' huyo wa Taqliid.