Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom amesema: Mfumo Mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe hautavuka mistari myekundu inayohusiana na haki za taifa la Iran, na…
Hawza/ Naibu Raisi wa Jumuiya ya walimu wa Hawza ya Qum, amefafanua kuwa: Kulilinda Taifa dhidi ya uvamizi wa adui Marekani na Utawala wa Kizayuni, ni wajibu kiakili, kisheria na kikanuni, na…
Hawza/ Naibu huyo, akirejelea kisa cha Mayahudi wa Bani Nadhir, alilielezea tukio hilo kuwa ni mfano wa kuvunja ahadi na jaribio la mapinduzi dhidi ya utawala wa Uislamu, na akasisitiza kuwa…
Hawza/ Ayatullah Abbas Kaabi, katika mkutano wa wakurugenzi na walinganiaji wa nchi Iran ulioratibiwa mahsusi kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1447 Hijria, uliofanyika kwa juhudi za muungano…