Ayatollah Jawadi Amuli amesema: Mtu ambaye ana matatizo kwenye jamii na anataka kuboresha uhusiano kati yake na watu wengine, ni lazima aimarishe na kupendezesha uhusiano wake na Mwenyezi Mungu.…
Hawza/ Hadhrat Ayatollah Jawadi Amuli amesema: "Isti‘ādha ya kweli ni hii: kwamba baada ya wasiwasi wa Shetani, roho zetu zielekee kwa Mwenyezi Mungu; kama ambavyo wakati wametangaza hatari na…